Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA
-ARUSHA
AMIRI Jeshi Mkuu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awatunuku Kamisheni maafisa wanafunzi 236 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha.
Sherehe hizo zilifanyika jana mjini Monduli mkoani Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwamo wakuu wa majeshi wastaafu, Mirisho Sarakikya, Jenerali George Waitara. Jenerali Venance Mabeyo.