
Zanzibar.. narudia tena, Zanzibar! Wakali wa mitindo na stara mmefikiwa!
Khadija Mwanamboka kaileta Samia Fashion Festival nyumbani kabisaaa huku ndo stara ilipozaliwa na inapoishi.
Jumamos hii tukutane Golden Tulip, mapema sanaaa.. Yaani njoo wewe mwanamitindo mapema kwenye usahili saa 8 mpaka saa 10 na jioni sasa ndo ile fashion show ya wale wabunifu… Raha Juu ya Raha!
Tusisahau ni Tarehe: 30-11-2024
@samiafashionfestival
#TalantaTanzania #UbunifuMitindoTanzania #UbunifuNaStara #KhadijaMwanamboka