6 views 43 secs 0 comments

RAIS SAMIA KUUFUNGA MKOA WA KIGOMA KIUCHUMI

In KITAIFA
September 19, 2024

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asisitiza Mkoa wa Kigoma ufunguke kuwa Mwanzo wa Reli

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Biteko amesema Serikali inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuipatia Kigoma miradi ya maendeleo na fursa mbalimbali ili kuufungua mkoa huo kiuchumi.

Akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Kasanda Wilaya ya Kakonko leo Septemba 18, 2024 Dkt. Biteko amesema kuwa Serikali imetekeleza miradi mingi ya maendeleo mfano hospitali na barabara ikilinganishwa na kipindi kilichopita ambapo wananchi walikuwa kitaabika kupata huduma mbalimbali za kijamii.

/ Published posts: 1215

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram