28 views 25 secs 0 comments

MHE CHANA AHUDHURIA MKUTANO WA 16 KIKAO CHA 8 CHA BUNGE

In KITAIFA
September 05, 2024

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amehudhuria Mkutano wa 16 Kikao cha 8 cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Septemba 5, 2024 jijini Dodoma.

Shughuli za bunge  leo zilikuwa ni pamoja uchaguziwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Dkt. Gladness Salema.

/ Published posts: 1214

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram