236 views 24 secs 0 comments

OKOA MAISHA YA UWAPENDAO KUACHA MATUMIZI YA NISHATI ZISIZO SAFI ZA MKAA

In KITAIFA
August 22, 2024

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa, kuni na nyinginezo. Matumizi ya nishati zisizo safi husababisha athari za kimazingira zinazopelekea mabadiliko ya tabianchi kama kuongezeka kwa joto, mvua zisizokuwa na mpangilio, ukame  pamoja na uharibifu wa mfumo wa ikolojia.

/ Published posts: 1883

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram