84 views 23 secs 0 comments

KINANA AMWAGA MANYANGA CCM AAMUA KUJIUZURU

In KITAIFA
July 29, 2024

Na Madina Mohammed WAMACHINGA

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana ameandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake kwa rais Samia Suluhu Hasani na taarifa zimedai kwamba rais amekubali ombi lake la kuachia ngazi nafasi yake na kwamba Kinana hakufafanua zaidi hatua yake ya kuachia ngazi ghafla.

/ Published posts: 1214

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram