269 views 48 secs 0 comments

KIKAO KAZI CHA KUFANIKISHA MAAZIMIO YA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO NCHINI 2050

In KITAIFA
July 04, 2024

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA

Wizara ya fedha ni Wizara muhimu katika maendeleo ya Taifa na ufanikishaji wa Maazimio ya Dira ya Taifa ya Maendeleo  Nchini, kwa kuzingatia hilo jana  Kamati  ya usimamizi wa Dira. Wajumbe wa Tume ya Mipango na Timu ya kitaalamu na uandishi wa dira ya Maendelo 2050 , walikutana kuweza kupata picha kamili ya walipotoka na wanapokwenda


Mkutano huo uliongozwa na Waziri wa fedha Mh. Mwigulu Nchemba pamoja Ndugu Laurence Mafuru ambaye ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kujadili mipango ya maendeleo na nini kifanyike kuelekea kufikia mwisho wa ukusanyaji maoni na uandishi wa Dira 2050

/ Published posts: 1883

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram