Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA
Mkuu wa mkoa wa mkuu wa Dar es salaam ALBERT CHALAMILA amemtaka kufanyika kwa tathmini ya zaidi ya shilingi billion 5 Ambazo zimetolewa katika ujenzi wa kutoa cha afya. Cha mchikichini kilichopo ILALA kutokana na kutoridhishwa ujenzi wa miradi huo
Agizo hilo Amelitoa katika ziara maalumu ya kukagua miradi mbalimbali ambayo inaendelea kujengwa katika maeneo wilaya mbalimbali za jiji la DSM ambapo amewataka wakandarasi hao kufanya kazi kulingana na makubaliano na serikali na kuepuka kufanya kazi kwa mazoea na kuepuka kufanya kazi kwa kujuana.
Hata hivyo CHALAMILA amesema hajaridhishwa na utekelezaji wa ujenzii wa ukumbi wa mikutano , maktaba pamoja uwanja wa michezo katika shule sekondari ya benjamini iliyopo ilala jijini SM na kuagiza kufanyika kwa tathmini juu ya mkandarasi anayehusika katika ujenzi wa miradi huo