111 views 34 secs 0 comments

AMREF KUREKEBISHA KANUNI ZA AFYA ZA KIMATAIFA

In KITAIFA
May 24, 2024

Na Madina Mohammed WAMACHINGA DAR ES SALAAM

Mkutano wa Afya Duniani (WHA77),ulioandaliwa na Amref Health Africa kwa ushirikiano na Afrika CDC, Ofisi ya Kanda ya Afrika ya Shirika la Afya Duniani na Bill na Melinda Gates Foundation.

Katika mkutano huo,ulijadiliwa maswala muhimu ya afya ya umma ikiwa ni pamoja na kujiandaa na kukabiliana na janga hilo,

Mkutano huo waliweza kutilia mkazo kazi ya Baraza la Majadiliano kati ya Serikali na marekebisho ya Kanuni za Afya za Kimataifa.

Aidha Amref Health Africa wameendelea na Maendeleo ya huduma ya afya kwa wote yaliangaziwa, ikizingatiwa uboreshaji wa upatikanaji wa huduma na kupunguza umaskini kutokana na gharama za huduma za afya.

Na Kuongeza kuwa Kuna Haja ya dharura ya kushughulikia magonjwa yasiyo ya kuambukiza, afya ya uzazi, na vifo vya watoto ilisisitizwa, na wito wa juhudi endelevu na ufadhili.

Maboresho ya usalama wa afya, kama vile uanzishaji wa vituo vya dharura vya kanda ndogo, na uzalishaji wa ndani wa bidhaa muhimu za afya pia ulijadiliwa. Zaidi ya hayo, athari za mabadiliko ya hali ya hewa kwa afya zilisisitizwa, na jitihada zinazoendelea za kujenga mifumo ya afya ya kaboni ya chini

/ Published posts: 1480

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram