266 views 25 secs 0 comments

WAZIRI MKUU KASSIM AMUAKILISHA RAIS SAMIA KIKAO CHA DHARURA CHA SADC

In KITAIFA
May 20, 2024
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 20, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Waziri Mkuu anashiriki Mkutano huo kwa njia ya mtandao kutokea kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.
/ Published posts: 1883

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram