160 views 54 secs 0 comments

SERIKALI YATANGAZA VIPAUMBELE VITANO SEKTA YA ELIMU 2024/2025

In KITAIFA
May 07, 2024

JIJINI DODOMA

“Vipaumbele vya Wizara Elimu kwa mwaka wa fedha 2024/25 ni kama vifuatavyo:

Kuendelea na utekelezaji wa sera na mitaala, mapitio ya sheria na kuandaa miongozo ya utoaji elimu na mafunzo nchini

Kuongeza fursa na kuimarisha ubora wa elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi (amali na amali sanifu);

Kuongeza fursa na kuimarisha ubora wa elimu ya msingi, sekondari na ualimu;

Kuongeza fursa na kuimarisha ubora wa elimu ya juu; na kuendeleza tafiti, matumizi ya sayansi, teknolojia na ubunifu.


Kuendelea na utekelezaji wa Sera na Mitaala, Mapitio ya Sheria  na kuandaa Miongozo ya Utoaji Elimu na Mafunzo Nchini“ – Prof Adolf Mkenda waziri wa Elimu Sayansi na teknolojia

/ Published posts: 1480

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram