105 views 30 secs 0 comments

WIZARA YA ELIMU KUSOMWA BAJETI YAKE KESHO,MEI 07,2024

In KITAIFA
May 06, 2024

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda kesho Jumanne Mei 07, 2024 anatarajiwa kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

Hotuba yake itajumuisha utekelezaji na mafanikio yaliyopatikana kwenye Sekta ya Elimu kupitia Bajeti ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 pamoja na Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

#ElimuUjuziNdioMwelekeo

/ Published posts: 1212

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram