135 views 48 secs 0 comments

BASHE KWENYE MAONYESHO YA TEKNOLOJIA ZA KILIMO BAADA YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI

In BIASHARA, KITAIFA
May 03, 2024



Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe alipata nafasi ya kupita katika maonesho ya Kilimo yanayoendelea katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma baada ya kuwasilisha Bajeti ya Kilimo, jana Mei 02, 2024.

Maonyesho hayo yenye kauli mbiu ya ‘FROM LAB TO FARM 2024’ yamelenga kuonesha jinsi ubunifu na teknolojia za kisasa zinavyoweza kuchochea maendeleo kwenye Sekta ya Kilimo

Bashe aliongozana na wageni mbalimbali waliofika Bungeni hapo wakiwemo baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi, wadau wa Kilimo bila kumsahau Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Ndg. Abdulmajid Nsekela kwajili ya kusikiliza mipango ya serikali katika kukiendeleza Kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

/ Published posts: 1209

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram