151 views 23 secs 0 comments

KILIMO KIMETOA AJIRA ASILIMIA 65.6

In BIASHARA, KITAIFA
May 02, 2024



“Sekta ya kilimo katika mwaka 2023 imekua kwa asilimia 4.2 kutoka asilimia 2.7 ya mwaka 2021 na imechangia asilimia 26.5 katika pato la Taifa ikilinganishwa na asilimia 26.2 mwaka 2022, vilevile imetoa ajira asilimia 65.6 imechangia asilimia 65 ya malighafi ya viwanda na kuendelea kuchangia asilimia 100 ya upatikanaji wa chakula,” – @HusseinBashe Waziri wa Kilimo

#BajetiKilimo

/ Published posts: 1215

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram