131 views 33 secs 0 comments

BAJETI YA WIZARA YA KILIMO 2024/2025 KUWASILISHWA LEO

In BIASHARA, KITAIFA
May 02, 2024

“Sekta ya Kilimo katika mwaka 2023 ilikua kwa asilimia 4.2 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 3.3 mwaka 2022. Vilevile, Sekta ya Kilimo imechangia asilimia 26.5 katika Pato la Taifa ikilinganishwa na asilimia 26.2 mwaka 2022, imetoa ajira kwa wananchi kwa wastani wa asilimia 65.6 na kuchangia asilimia 65 ya malighafi za viwanda.”

Mhe. Hussein Bashe (Mb)
Waziri wa Kilimo.

Akiwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Kilimo
kwa Mwaka 2024/2025

/ Published posts: 1215

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram