87 views 27 secs 0 comments

MUONEKANO WA ENEO YATAKAPOFANYIKA MAONYESHO YA KILIMO KUANZIA KESHO

In BIASHARA
April 29, 2024

DODOMA

Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na wadau kwenye sekta ya kilimo kuanzia kesho Aprili 30, 2024 wataonesha shughuli mbalimbali za kiteknolojia zinazotumika katika sekta husika kwenye kuendeleza kilimo nchini

Maonesho hayo yenye Kauli Mbiu ya “from Lab to Farm 2024” yanalenga kuonesha namna matumizi ya teknolojia yanavyochagiza maendeleo ya kilimo ambapo wadau mbalimbali wa kilimo wanaonesha shughuli zao

/ Published posts: 1215

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram