318 views 28 secs 0 comments

MAONESHO YA KILIMO KUANZA RASMI KESHO JIJINI DODOMA

In BIASHARA
April 29, 2024



Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma  ametembelea na kukagua maandalizi ya maonesho ya kilimo yatakayoanza kesho katika Viwanja vya Bunge.

Maonesho hayo yenye Kauli Mbiu ya “from Lab to Farm 2024” yanalenga kuonesha namna matumizi ya teknolojia yanavyochagiza maendeleo ya kilimo ambapo wadau mbalimbali wa kilimo wataonesha shughuli zao

/ Published posts: 1886

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram