129 views 28 secs 0 comments

BAJETI WIZARA YA NISHATI 2024/2025 YATUA BUNGENI

In KITAIFA
April 24, 2024

Na Mwandishi Wetu DODOMA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto  Biteko (Mb), leo Aprili 24, 2024 anawasilisha bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2024/25 katika Mkutano wa Kumi na Tano Kikao cha Kumi na Tatu.

Wakati wa wasilisho hilo viongozi na wageni mbalimbali wa Wizara wamealikwa kushuhudia.

/ Published posts: 1480

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram