433 views 38 secs 0 comments

DKT BITEKO AHANI MSIBA WA MKE WA MZEE GACHUMA

In KITAIFA
March 31, 2024

Na mwandishi wetu Tarime

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 31 Machi 2024 amefika kijijini Komaswa, wilayani Tarime mkoani Mara ili kuhani msiba wa aliyekuwa Askofu wa New Life Gospel Community Church (NLGCC), Marehemu Fransisca Mwita Gachuma ambaye alikuwa mwenza wa Ndugu Christopher Gachuma, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ( NEC) Taifa kutokea Mkoa wa Mara.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko aliambatana na Mkewe, Mama Bernadetha Biteko.

/ Published posts: 1886

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram