153 views 24 secs 0 comments

MBARAWA AFANYA MAJARIBIO YA TRENI YA MWENDOKASI KABLA YA KUAZA

In KITAIFA
March 18, 2024
Waziri wa Uchukuzi Mhe Makame Mbarawa akiwa na Mkurugenzi mkuu wa Trc Masanja kadogosa wakiwa wanazungumza jambo Leo mapema Katika Ziara ya Treni ya Mwendokasi ambayo inayotoka Dar es salaam mpaka Mkoa wa Morogoro
Waziri wa Uchukuzi Mhe Makame Mbarawa akiwa na Mkurugenzi mkuu wa Trc Masanja kadogosa Wakiambatana na Madiwani wa chama Cha Mapinduzi Akiwa Anawaelekeza jambo
Waziri wa Uchukuzi Mhe Makame Mbarawa Akiangalia Mabehewa Yalitokuwa Katika Kituo Cha Pugu baadhi ya Mabehewa hayo yakiwa Katika Kituo hicho wakati wa ziara ya Majaribio ya Treni ya Mwendokasi
Baadhi ya madiwani wa chama Cha Mapinduzi wakijumuika Katika jaribio la Treni ya mwendokasi Leo mapema,Na Treni hiyo Imetoka Dar es salaam mpaka Mkoa wa Morogoro wakiambatana na waziri wa uchukuzi Makame Mbarawa
Mkurugenzi mkuu wa Trc Masanja kadogosa akizungumza na kutoa maelekezo Katika majaribio ya pili ya treni ya mwendokasi ya umeme Leo Tarehe 18 Machi 2024 Katika majaribio Ambayo yanayofanyika Dar mpaka Morogoro
Wafanyakazi wa TRC wakiwa wamekaa na kushuhudia Treni ya mwendokasi ambayo inayotoka Dar mpka morogoro Kwa majaribio
/ Published posts: 1214

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram