
Madina Mohammed DAR ES SALAAM
Kampuni ya mtandao ya michezo ya kubashiri nchini Tanzania HELABET na Mwanamitindo na muigizaji Wema Sepetu wameingia makubaliano rasmi ya kufanya kazi Kwa pamoja Kwa kipindi Cha miezi 6 Kwa kuwa balozi wao
Wema sepetu Amesema kuwa amekuwa wanafamilia Katika namba moja ya kampuni ya HELABET ya online
“Mimi huwa siendagi Kwa kampuni kampuni huwa naendaga the Best Kwa hiyo nilivyoaprochiwa na helabet wakaniomba niwe Katika familia Yao,nikaangalia kwanza nikasema this is dizevid to be product ambayo itatangazwa na mimi kama wema sepetu”,
Msanii huyo wa filamu nchini Wema Isack Sepetu amepata ubalozi kutoka kwenye kampuni ya kubashiri ya hela bet ambayo inaendesha mchezo wa kubashiri mtandaoni
Akizungumza mapema leoย Machi,15 2024,Wema amesema kuwa amefurahi kuwa mwanafamilia mpya kutoka kwenye namba moja ya kampuni ya kubashiri ya michezo.
โMimi huwaga sifanyi na kampuni ambayo haiko vizuri lakini kwa kuona hii kampuni ya hela bet inafanya vizuri kwa upande wa michezo mtandaoni nikaona nishirikiane nao ili tuweze kufanya kazi.
โNina waahidi kufanya kazi bega kwa bega kwa kampuni hii ili kuhakikisha inamfikia kila Mtanzania na pia mimi nitaanza kubashiri na kwa upande wa timu mimi ni shabiki wa Yanga,โamesema Wema