76 views 47 secs 0 comments

RAIS HUSSEN ,MWINYI AFIKA MSIBANI KWA BABA YAKE MIKOCHENI

In KITAIFA
March 01, 2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti WA Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ally Mwinyi akiwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila mikocheni nyumbani Kwa baba yake na akiendelea kupokea pole Kwa ndugu na jamaa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa Mikocheni nyumbani kwa baba yake akiendelea kupokea mkono wa pole kutoka kwa Rais Mstaafu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea jana tarehe: 29 Februari 2024.

/ Published posts: 1212

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram