156 views 44 secs 0 comments

MWENEZI MAKONDA ATOA WITO KWA WANA CCM WAPENZI NA MASHABIKI KUJITOKEZA KWA WINGI KUMPOKEA KATIBU MKUU DKT NCHIMBI

In KITAIFA
January 19, 2024

Na Mwandishi wetu

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda ametoa wito na rai kwa Wanachama, Wapenzi, Wakerektwa wa CCM kujitokeza kwa wingi kumlaki na kumpokea Katibu Mkuu wa CCM Taifa Emanuel Nchimbi ikiwa sehemu ya ishara ya kumkaribisha ofisini pia naye kutoa salamu na shukrani.

Mwenezi Makonda amesema ujio wa Katibu Mkuu Komredi Nchimbi umetetemesha kundi la watoa taarifa wanaojiita wapinzani ambao mara zote wamekuwa wakibeza maendeleo yanayoendelea kufanywa katika Taifa letu la Tanzania hivyo amewataka Watanzania kuendelea kuwapuuzia.

/ Published posts: 1212

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram