169 views 47 secs 0 comments

JOKATE MWEGELO:AWASILI MKOA WA SONGEA KATIKA ZIARA YA KIKAZI

In KITAIFA
December 13, 2023
Katibu Mkuu UWT (T) Komredi Jokate Mwegelo amepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani Ruvuma na Komredi Odo Mwisho Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Waziri wa Michezo na Mbunge wa Songea Mjini, Komredi Kuruthumu muhagama Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Ruvuma pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali.
Katibu mkuu wa UWT comredi JOKATE MWEGELO akisaini kitabu Cha wageni baada ya kuwasili Katika ofisi ya chama Cha mapinduzi CCM Mkoa wa Ruvuma Leo Tarehe 13 Disemba 2023 Akiwa Katika Ziara ya kichama na ukaguzi wa mradi mbalimbali ya maendeleo
/ Published posts: 1212

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram