Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Picha ya pamoja na Viongozi na Wadau mbalimbali wa Maendeleo muda mvhache kabla ya kuingia ukumbini tayari kwa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Uhuru sambamba na Uzinduzi wa Mchakato wa kukusanya Maoni kwaajili ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo Disemba 09,2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwasili Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma kwenye Maadhimisho ya Miaka 62 ya Uhuru sambamba na Uzinduzi wa Mchakato wa kukusanya Maoni kwaajili ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo Disemba 09,2023.