139 views 36 secs 0 comments

YANGA SC NA AL AHLY YAONESHANA UBABE YAPATA USHINDI WA 1-1

In MICHEZO
December 02, 2023

Mashindano ya klabu bingwa barani afrika hatua ya makundi imeendelea leo Jumamosi December 02,2023 kwa kuchezwa michezo mbalimbali huku Tanzania ikiwakilishwa na Simba na Yanga.

Yanga imejitahidi kucheza Zaidi ya waarabu hao ambao gemu ilikuwa ngumu lakini waliweza kuoneshana ubabe Kwa kipindi Cha kwanza kutoweza kupata matokeo na kipindi Cha pili kupata magoli Moja Moja

Yanga yapata ushindi wa Moja Moja na Al ahly ambayo magoli hayo yamefungwa na pacome dakika ya 90-1 na mchezaji wa al ahly ni Percy dakika ya 80

Simba sc ikiwa inawakilisha Tanzania katika kundi B,Wamecheza mapema saa kumi jion ugenini Botswana dhidi ya mwenyeji Jwaneng Galaxy na kuambulia sare ya bila ya kufungana (0-0).Huu ni mchezo wa pili simba anatoa sare,Mchezo wa kwanza alicheza na Asec Mimosas ya Ivory coast uwanja wa Benjamin Mkapa na kuambulia sare ya kufungana moja moja(1-1).

Yanga anawakilisha Tanzania mashindano ya kimataifa wapo kundi D na leo wamecheza nyumbani Uwanja wa Benjamini Mkapa dhidi ya Al ahly Sc ya Misri na matokeo ni (1-1),Kumbuku za mchezo wa kwanza Yanga walipoteza kwa kufungwa magoli matatu ugenini dhidi ya CR Belouizdad ya nchini Algeria.

KUNDI D

Al Ahly SC
CR Belouizdad
Yanga SC
Medeama

/ Published posts: 1214

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram