284 views 20 secs 0 comments

AJALI YATOKEA MANYONI BASI LA ALLY’S LAGONGA KICHWA CHA TRENI WAFALIKI WATU 13

In KITAIFA
November 29, 2023

Watu 13 wamefariki dunia na 25 kujeruhiwa katika ajali ya Basi la Ally’s lenye namba za usajili T.178 DVB lililokuwa likitokea Jijini Dar es salaam kwenda Jijini Mwanza baada ya kugonga Treni za mizigo maeneo ya Manyoni leo Novemba 29,2023 majira ya Saa 11 alfajiri.


/ Published posts: 1883

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram