
Kabila la Ovahimba ambalo linapatikana kaskazini mwa nchi ya Namibia katika mikoa ya Kunene na Omusati wana utamaduni wa kuwapokea au kuwakaribisha wageni wa kiume kwa kufanya mapenzi wakiamini kuwa hiyo ndiyo heshima na baraka kutoka kwa mgeni.
Mgeni wa kiume anapowasili kwa siku ya kwanza huandaliwa chumba na kisha hupewa mwanamke/binti ambaye hajaolewa. kama kwenye familia aliyofikia mgeni hakuna mwanamke ambaye hajaolewa basi wanaume wa familia hiyo hupiga kura ili mmoja wao kumuachia mgeni chumba chake alale na mkewe.
Iwapo kwenye familia yupo mwanaume mmoja (baba wa familia) itabidi amuachie chumba chake mgeni alale na mke wake. Asubuhi huwa Kuna ukaguzi Kama alifanya naye Mapenzi ikibainika hujafanya Mapenzi na mgeni unarudia kulala naye siku ya Pili.
Hiyo ndio desturi ya wezetu je Mila hiyo ingekuwa hapa kwetu Tanzania ingekuaje?