385 views 21 secs 0 comments

MATUKIO YA MBALIMBALI YA PICHA YA JOKATE MWEGELO KUONGELEA KUHUSU MIAKA MITATU YA MAFANIKIO YA DKT MWINYI

In KITAIFA
October 27, 2023
Katibu mkuu wa UWT Jokate Mwegelo akiwasili Katika Ofisi ndogo za chama Cha mapinduzi zilizopo lumumba jijini Dar es salaam Leo ijumaa 27,2023
Baadhi ya matukio mbalimbali yalioyopo Katika ofisi za ndogo za ccm, katibu mkuu wa UWT Jokate Mwegelo akisaini baadhi ya karatasi wakati alivyowasili Leo Siku ya ijumaa 27,2023
Matukio ya picha waandishi wa habari wakijumuika Katika tukio la Miaka mitatu ya mafanikio ya Hongera DKT Mwinyi lililopo Katika ofisi ndogo za chama Cha mapinduzi ccm lumumba jijini Dar es salaam Leo ijumaa 27,2023
Katibu mkuu wa UWT Jokate Mwegelo akifurahi neno na viongozi wa UWT wa umoja wa wanawake Tanzania na Madiwani Leo siku ya Ijumaa 27,2023
Baadhi ya viongozi wa UWT wa wilaya mbalimbali wakiwepo.pamoja na Madiwani na wabunge Katika ofisi ndogo za chama Cha mapinduzi ccm lumumba jijini Dar es salaam Leo ijumaa 27 2023
Baadhi ya wakinamama wa umoja wa wanawake Tanzania wakiwa wanasubuli hutuba ya katibu mkuu wa UWT Jokate Mwegelo Leo siku ya Ijumaa 27 2023 jijini Dar es salaam

Madina Mohammed

/ Published posts: 1883

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram