
Mama mzazi wa msanii maarufu wema sepetu achafua hali ya hewa kwenye birthday party ya mtoto wake
Kilichoendelea mama huyo alipeleka zawadi ya kanga Kwa mwanawe na kugeuka somo Kwa Muda Kwa kumfunda wema sepetu
Somo kubwa alilolitoa mama huyo ni kuhusu matumizi ya khanga Kwa mwanamke kwani alishawai kumuomba khanga mwanae na kupewa mtandio
Mbali na hayo mama wema alionyeshwa kuchukizwa na tabia ya mtoto wake kuwa wazi sana hasa kwenye swala la mahusiano kwenye mtandio na kusema kuwa anamtia aibu
MADINA MOHAMMED