199 views 54 secs 0 comments

WILAYA 119 KUPAMBANA NA MABUSHA NA MATENDE

In KITAIFA
September 19, 2023

Mkutano wa mashirika yasiyoya kiserikali ENGO’S zimeungana Kwa pamoja Ili kuweza kupambana na magonjwa ambayo hayagewi kipaumbele

Magonjwa hayo ni mabusha,matende,kichocho na ugonjwa wa vikope wa macho Trakoma ambazo jitihada zimeendelea kufanyika kama Tanzania imekuwa wenyeji Kwa mara ya kwanza

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo jumanne 19 September 2023 Mkurugenzi mkazi CBM International Nesia Mahenge Amesema Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan amewakalibisha wageni Zaidi ya nchi 53 ambao wanajitahidi magonjwa ambayo yalikuwa hayapewi kipaumbele

“Tunaipongeza wizara ya afya Kwa kumuakilisha waziri wa afya Ummy Mwalimu Ambae anajitahidi kupambana na magonjwa haya pia Yana uhusiano na maji safi na salama na shughuli nzima ya mazingira safi nchi ya Tanzania imejitambulisha vizuri”Amesema Mahenge

Aidha amesema Katika wilaya 119 Teali Madaktari wao wamewezakufanya kazi kubwa ya kuondosha matatizo ya mabusha na matende Katika wilaya 119 Asilimia kubwa wizara ya afya imepiga hatua Katika magonjwa hayo ambayo hayapewi kipaumbele

Vilevile magonjwa ya vikope Trakoma Kwa wilaya 68 ambazo zimeweza kutibika teali ambazo wilaya 60 limeweza kuondoshwa na tatizo hilo na zimebakia wilaya 8 ambazo zinautamaduni wa maisha wanayoishi Kwa maeneo Kwa wale wafugaji ambao huenda wanalala na mifugo ndani

“kama sisi serikali tunaenda kushirikiana naa wizara ya maji na wizara ya afya Kwa kuhakikisha kuwa kwamba katika.jamii hizi za kiufugaji kuendelea kutoa elimu na kuwafikia maji safi na salama Kwa uwakika na Moja ya nyenzo ya kupambana na.magonjwa hayo

Madina Mohammed

/ Published posts: 1215

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram