Home > KITAIFA 468 views 19 secs 0 comments RAIS SAMIA AWASILI.MTWARA KWA KISHINDO In KITAIFA September 14, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi pamoja na Wananchi wa Mtwara mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi mkoani humo tarehe 14 Septemba, 2023.