BBT imetenga milioni 20 Kwa ajili ya kuhakikisha kuongeza vituo Katika wizara ya uvuvi na mifugo Kwa kushirikiana na mikoa ya hapa Nchini
Katika vituo hivyo vituo nane ndo vilitengwa ambavyo vipo Chini ya wizara Moja Kwa Moja na BBT inaenda mpka mikoani Kwa kushirikiana na wakuu wa mikoa
Katika mikoa hiyo ni Tabora,Morogoro,ambayo teali imashaingia Katika mchakato huo wa kuhakikisha kutengeneza miundombinu Kwa pamoja itakayowafundisha Vijana
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo jumatano 06 September 2023 Waziri wa uvuvi na mifugo Abdallah Ulega amesema kampeni hiyo ipo Katika matarajio na inaitajika kufanyika mwezi 9 na 10
“Utayali wa serikali kwenye kuhakikisha kwamba jambo hili la upatikanaji wa lishe ya huwakika Ili ng’ombe wasiweze kufa kutokana na ukame”
Wazalishaji wa kuku mathalani hupata wakati mgumu sana haswa Katika nyakati za kiangazi kwa sababu wa upatikanaji wa mahindi huwa yanapanda Bei sana huwa kunaongeza gharama za Uzalishaji”Amesema Ulega
Serikali tumeonyesha ushirikiano mkubwa tayali na sisi wasaidizi wa Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan tulivyokuwa tayali kuhakikisha kwenye changamoto ambazo zinakabili sekta ya zetu za Uzalishaji Chini ya makundi ya Vijana na wakina mama
Aidha Ulega amesema upande wa uchanjaji wa chanjo Kwa wale wanaofanya Ufugaji wa kibiashara kuku,mbuzi,ngo’mbe uchanjaji ni asilimia 100 wanayofanya na Ufugaji wa Asili ni asilimia 20 na tunahitaji kusonga mbele mpaka asilimia 50
MADINA MOHAMMED