
Mkutano wa kitaalamu Wenye lengo la kujadili juu ya maendeleo ya kisekta ya uvuvi na Ufugaji wa samaki Katika afrika.ambayo ipo Chini ya Taasisi ya AFRICA UNIONS EBAC
Mkutano huo wa kitaalamu Kwa ajili ya kujadili juu ya kunyambua itifaki mbalimbali za maendeleo ya ulinzi wa rasilimali Kwa samaki
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Leo jumatano 15 Agosti 2023 Katika ukumbi wa peacock waziri wizara ya mifugo na uvuvi Abdallah Hamis Ulega amesema maendeleo ya Ufugaji wa samaki na ikiwemo mengine vinavyopatikana Katika maji
“Jambo hili linawahusisha maisha ya watu ya kila siku na kwamba Afrika tumebaki sisi na tunachoweza kusema kuwa tunazojitihada kama serikali ambazo tukizuchukua kila mara kuhakikisha kwamba uvuvi haramu Katika maji yetu ya Asili iwe baharini iwe Katika maziwa Kuna kupungua na kukomeshwa kabisa”amesema Ulega
Hata hivyo waziri Ulega amesema kubwa Katika hizi jitihada na pamoja na utoaji wa elimu hii ni rasilimali ambayo ya watu wao wenyewe Kwa ajili ya maisha ya watu wao wenyewe
“Kwahiyo msingi wa kwanza wao wenyewe wananchi wadau kujua kwamba jambo hili ni letu unapoliaribu unaharibu maisha yako mwenyewe na Kwa hili tulikuwa tunalifanya na linahitaji elimu kila mara na tunashukuru”ameongeza waziri Ulega
Aidha miongoni mwa jitihada hizi pia Kuna watu wanaangaika kupata maisha ya kila siku kila mara tunatafuta mbinu mbadala
Madina Mohammed