179 views 16 secs 0 comments

MCHUNGAJI MASHIMO AWAOMBA TFF KUMFUNGULIA ADHABU HAJI MANARA HARAKA IWEZEKANAVYO

In MICHEZO
August 12, 2023

Mchungaji wa Taifa Daudi mashimo atabirikushinda Kwa Timu ya Simba SC dhidi ya yanga SC Katika mchezo utakao pigwa Katika dimba la ccm mkwakwani mkoani Tanga

Mashimo amesema kesho yanga hawatoweza kushinda Kwani simba Ipo Katika usajili mzuri na yanga kesho wakubali tu matokeo ya kufungwa na Katika ligi watakuwa watu watatu

Amewaomba mashabiki wa yanga kutoenda Katika viwanja hivyo kwani watapata aibu kwa kufungwa na Timu ya Simba SC

Hata hivyo mashimo amesema kuwa yeye utabiri wake hauongopi kwani wameona utabiri ule waliochezaga Katika fainali ya shirikisho na hawakuweza kumpa pesa zake alizozisema

Aidha Mchungaji wa Taifa Daudi mashimo amewaomba shirikisho la Michezo TFF kumfungulia Haji manara adhabu yake mara Moja kwani hajaona adhabu yake ya kumfungia Haji manara

“Adhabu muliyompa manara umeshafika mwisho mumfungulie adhabu kwani kabla haijafika tarehe 01 mwezi 9 muwemushamfungulia manara kama hamjamfungulia na mkipuuzia mungu mwenyewe ataingilia kati na mtajua adhabu Gani mungu atawapa”. amesema mashimo

Madina Mohammed

/ Published posts: 1214

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram