348 views 24 secs 0 comments

SIKUNJEMA:MTU ASIEELEWA SWALA LA BANDARI BASI HATA ELEWA TENA

In KITAIFA
August 02, 2023

Mwenyekiti wa ccm wilaya ya kigamboni Sikunjema Yahaya Shabani amesema wanakigamboni wanaenda kuwa mabalozi Katika chama chetu Cha mapinduzi

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam mwenyekiti wa ccm wilaya ya kigamboni sikunjema yahaya Shabani kila mtanzania aliesikiliza hutuba ya viongozi mbalimbali atakuwa ameelewa jambo zima la bandari

“mtu asieelewa basi atakuwa haelewi tena Kwa jambo hilo nimepata faraja kubwa” Amesema Shabani

Aidha amesema kigamboni ilikuwa ikitusumbua ni barabara katibu mkuu wa chama Cha mapinduzi Daniel chongolo amesema barabara 2 ambazo ni za umuhimu wa wanakigamboni ambazo ni barabara ya kibada,mwasonga,Hadi kimbiji na barabara ya kutoka feri kupitia somangira,kimbiji,mbuyuni Hadi Pemba mnazi

“nikiwa kama mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi kuwa hii imenipa faraja kubwa kuona chama Sasa kinaelewa tatizo la kigamboni na Mimi nitoeshukrani Kwa serikali yetu ya chama Cha mapinduzi kwamba inajari wananchi na wamesikia kilio Cha watu wa kigamboni hatimae serikali wameweza kutamka barabara za kigamboni kama ambavyo nilizozitaji”. amesema Shabani

Hata hivyo swala la maji pia limezungumzwa Kwa wastani

Madina Mohammed

/ Published posts: 1886

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram