


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuwasili katika Hoteli ya Gran Meliá kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika
uliofanyika Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023.






Madina Mohammed