
Taasisi mpya iitwayo watetezi wa mama wamekuja Moja Kwa Moja Kwa ajili ya kumsapoti Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Katika juhudi zake ambazo anazozifanya Katika serikali yake.
Miaka 2 ya mama samia mambo makubwa yamefanyika Kuna miradi ya mikakati tunaule mradi wa mwalimu Nyerere wa umeme rufiji na mradi wa reli SGR wengi tulijua miradi haiwezi kwenda Kwa Kasi lakini Kwa Kasi kubwa miradi inaenda vizuri na inafanya vizuri
“Ule mradi wa mwalimu Nyerere tulikuwa tunataraji maji yatajaa Kwa miaka 3 lakini tumeambiwa sasa hivi mwaka mmoja wa kwanza hali ya maji ni nzuri sana”.
“lakini ukija Katika maswala ya miundombinu ya barabara Tanzania karibia wilaya zote ni barabara za Rami ambazo zipo kijichi,temeke,nyombo na kunduchi ubungo kulikuwa Kuna kunashida ya barabara ila zimekamilika na kigamboni pia”
Aidha amesema Kuna vituo vya afya vya kisasa shule zinajengwa za gorofa madawa ya kutosha,madaktari serikali inaongeza wengine wakutosha na walimu wataajiriwa wengine Ili kuhakikisha wanatoshereza mashuleni.
Hata hivyo ameipongeza taasisi hiyo ya watetezi wa mama Kwa juhudi kubwa ya kumsapoti Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan
Nae mwenyekiti wa Tanga mjini Said Khatibu masa amesema taasisi yetu inalenga kumuunga mkono Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Katika kumsapoti kazi zake zote anazozifanya zipo chokochoko mbalimbali wapo watu mbalimbali ambao hawazioni juhudi za mhe.rais
“Na sisi tukae tunainuka na kusema kwamba tutawalazimisha aidha kwa utaratibu nzuri au Kwa kuwaelimisha Ili wafahamu juhudi ambazo mhe.Rais anazozifanya ndomana tumesimika taasisi hii kuhakikisha mama anachaguliwa 2025”. Amesema Masa