
Ukimwi ni swala ambalo watu wengi wanalifikilia na kuitaji kuhakikisha wanaweza kulidhibiti ugonjwa huu wa ukimwi Kwani taasisi mbalimbali wakiwapa elimu wananchi kuhusiana na swala hili la janga la ukimwi WHO ni shirika la afya linajitahidi sana kutoa elimu Kwa wale ambao walioathirika na kuwapa matumaini ya kuishi tena kwani kupata ukimwi sio kufa.
Mtanzania mmoja pia ni Tabibu wa dawa za Asili Amos Njige ameweza kulitatua swala hilo la ugonjwa wa ukimwi Kwa kulitafutia ufumbuzi na kupata dawa yake Kwa Muda mrefu sana.
Dawa hiyo inaitwa mswanizwa ambayo inasaidia kutibu ukimwi dawa hiyo imeshughulikiwa Kwa Muda mrefu sana Kwa kila hatua ambayo aliyoweza kuipiga ameona mafanikio Kwa Sasa ameamua kuitambulisha rasmi na kuijulisha Umma kwamba wakati anaielekea kuilasimisha serikalini apate kuungwa mkono na taasisi zinazohusika.
“kwasababu najua janga hili linaitaji jitihada ya pamoja kwani jitihada ya mtu mmoja haiwezi kusaidia sana hivyo basi ningependa kuwajulisha Umma kwa wakati sasa naanza kuisajili vizuri kwenye taasisi husika Ili kuitaji kuungwa mkono na pale napoitaji kupata msaada wa taasisi au serikali na wadau wengine tuungane mkono”.amesema Njige
Aidha Njige amesema alikuwa anaumizwa sana na janga hili la ukimwi Kwa Sababu wapo watoto wadogo waliozaliwa na ugonjwa huo
Pia ameongezea Kwa kuwaomba wadau kushirikiana Katika swala hili na kuomba taasisi za serikali ambazo wanaohusika na maswala haya zimsaidie Katika kuzisajili dawa kwani dawa hiyo inaitajika kupelekwa Kwa mkemia mkuu Kwa usajili WA dawa hiyo.
Madina Mohammed