

Ni Julai 5, 2023 ambapo Kikosi cha Yanga SC kimewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu Lilongwe nchini Malawi.
Yanga wamewasili nchini humo kwa Mwaliko wa Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy ili kucheza mchezo wa kirafiki na Timu ya Nyasa Big Bullet ikiwa ni sehemu ya kusherehekea miaka 59 ya Uhuru wa Taifa hilo.
Hizi ni baadhi ya picha ambazo walizizoweza kupokelewa huko Nchini Lilongwe Malawi akiwemo pia Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan Rais WA Jamhuri ya Tanzania na Rais WA Malawi Dkt.Lazarus McCarthy







