Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Mohamed Salum Leo ijumaa ya tarehe 30 amefanya mahojiano na kituo kimoja Cha television kilichopo dar es salaam Katika kufafanua na kufungua baadhi ya vifungu vya Sheria katika mkataba wa bandari huo
Amesema ni kweli ibala ya 22 ya mkataba inaongelea substitute management marekebisho ya ibala ni kwamba mkataba huu una uwezo WA kurekebishwa Muda wowote Kwa upande mmoja kuwasilisha mapendekezo Kwa upande wa pili na mukakubaliana mapendekezo ya marekebisho mukafanya marekebisho mkataba ni pande mbili huwezi kurekebisha mkataba Kwa wewe tu Kwa maslahi yako.
“Ni mjadala tu lakini lazima mufanye majadiliano mukubaliane na muende kwenye hatua lakini hakunaga management ya mkataba Kwa kufosi upande mmoja lazima mukae mutoe resort ya management lakini mkataba uweumelidhiwa Kwa kuanzia Sasa hivi tunaenda Katika mchakato WA marekebisho”.Amesema Salum
Aidha salumu amesema kunakifungu kimoja watu hanakizungumza na hakisemwi kuwa huu mkataba kwenye ibala ya 14 ya mkataba inaongelewa Expopietion Utaifishaji
Mkataba huu inaruhusu serikali Kwa maslahi ya umma kutaifisha uwekezaji
Madina Mohammed