155 views 28 secs 0 comments

DP WORLD WANAUWEZO WA KUIENDESHA BANDARI

In KITAIFA
June 30, 2023

Mwenyekiti wa chama Cha wakala wa meli Tanzania (TASAA) Daniel Mallongo amesema mawakala wa meli Nchini Tanzania wanasubiri Kwa hamu uwekezaji wa kampuni ya Dp world kwenye uwekezaji wa bandari ya Dar es salaam.

Amesema Dp World ni kati ya kampuni tatu kubwa duniani ambazo zinazoendesha bandari mbalimbali

“Dp world inaendesha takribani bandari 64 duniani ambazo unaziongelea Afrika,Ulaya, na hata Amerika”.Alisema Mallongo

Hata hivyo amezitaja kampuni hizo ya kwanza ni ambayo inaukubwa na uwezo ambayo inaitwa Hudson Ya Hongkong na ya pili ni kampuni ya India na ya tatu ni Dp world

“Kwa muktadha huo Dp world Ina uwezo mkubwa na nilishafika pale Antwerp (ubeligiji) ni kati ya mali ya Dp world ni kati ya bandari ambazo ziko na ufanisi sana”.Ameongezea Mallongo

Bandari nyingine ambayo wanayoiendesha ni London gateway Dp world wanaiendesha ulaya na new Jersey marekani pia wanakituo wanakiendesha na ni mwanzo – Mwisho wanatemino wanayoiendesha wenyewe na unaazia Kwa uzalishaji hadi Kwa mtumiaji WA mwisho Kwa products Hadi costume wanaiendesha wenyewe

Pia Amesisitiza kuwa Dp world wanauwezo WA kuendesha bandari

Madina Mohammed

/ Published posts: 1214

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram