356 views 35 secs 0 comments

MATUKIO YA MHE. WAZIRI MKUU BUNGENI

In KITAIFA
June 27, 2023

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 27, 2023.


DSC_0260 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Idunda iliyopo katika Jimbo la Kibakwe ,kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 27, 2023.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa kwenye picha ya pamoja na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Idunda iliyopo katika Jimbo la Kibakwe ,kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 27, 2023.

/ Published posts: 1886

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram