Akizungumza Jijini Dar es salaam Katika soko hilo la samaki feri mkuu wa wilaya ya Ilala Edward mpogolo amesema wakati akitoa changamoto nyingi Katika soko hilo amesema Halmashauri ambayo Kwa nchi nzima hakuna Halmashauri yenye mapato mengi Zaidi ya Ilala inamapato mengi Zaidi ya shilingi billion 81 na ndio inayolisha MKOA mzima WA Dar es salaam
Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward mpogolo amesema uchakavu WA miondombinu Katika soko hilo imedhidi kukisiri ila serikali itawezesha kukarabati miundombino hiyo Katika soko hilo la samaki feri Magogoni.
“sisi viongozi hatutakiwi kutengeneza urasimu Katika maghara ambayo watu wanaotafuta maisha Kwa watoto na familia zao”
“Sisi tunaosimamia Sheria kunamahala tuangalie na tujiulize shida ni nini kwani rushwa IPO popote sio pesa tu hata ukimpa mtu samaki kwani Kuna madhara yanayojitokeza”Alisema mpogolo
Hata hivyo mpogolo amesema lazima mambo yafanyike hadharani kwani hata Rais Samia Suluhu Hassan huwa anatangaza mambo ya wananchi hadharani ndo mana Mkurugenzi alivyoniambia nije nikaamua kuja Ili kuwasikiliza matatizo yenu hapa hadharani
Pia amewaomba wale wanaokaanga samaki Kwa kutumia Kuni,mkaa,waache na watumie gesi Ili kupunguza Moshi maana unahasiri maisha yenu na hata wageni wanaokuja pia amewaomba wadau waweze kuwapangia maeneo mazuri kule wanapokaangia maeneo yasiyo rasmi waondoke.
Madina Mohammed