369 views 30 secs 0 comments

CCM: SERIKALI NA WANANCHI SHIRIKIANENI KUKOMESHA UDUMAVU IRINGA

In KITAIFA
May 27, 2023

Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia Mjema ameagiza serikali kushirikiana na wananchi katika kukomesha udumavu mkoani Iringa.

\”Dhamira ya CCM kama ilivyolezwa kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 ibara ya 86 ni kuhakikisha watoto wanapata lishe bora na kutokomeza udumavu ili tuwe kuwa na vizazi vyenye nguvu Kazi ya kutumikia Taifa letu la Tanzania,\” alisema.