Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria chini ya Mwenyekiti wake, Mheshimiwa Dkt. Joseph Mhagama (Mb) ilipokutana na Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais, Menejinenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George Simbachawene (Mb) ili kupata maelezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Tume ya Mipango wa Mwaka 2023.


