159 views 3 mins 0 comments

VIONGOZI, WATENDAJI WA OFISI YA RAIS-UTUMISHI WAWASILISHA MADA KWENYE MKUTANO WA TAPSEA, ZANZIBAR

In KITAIFA
May 26, 2023

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akitoa salamu za Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati wa Mkutano wa Kumi wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.

\"\"

Sehemu ya washiriki wa Mkutano wa Kumi wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete wakati akitoa salamu za Ofisi yake katika mkutano huo unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar

\"\"

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akifuatilia Mkutano wa Kumi wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.

\"\"

Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, ACP. Ibrahim Mahumi akifafanua hoja kuhusiana na masuala ya kiutumishi kwenye Mkutano wa Kumi wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.

\"\"

Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi wa Maadili, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Leila Mavika akifafanua hoja kuhusiana na masuala ya maadili kwenye Mkutano wa Kumi wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.

\"\"

Mkurugenzi wa Idara ya Utawala wa Utumishi wa Umma, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Felista Shuli akifafanua hoja kuhusiana na masuala ya kiutumishi kwenye Mkutano wa Kumi wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.

\"\"

Sehemu ya Wakurugenzi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakiwa kwenye Mkutano wa Kumi wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania unaoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.