170 views 24 secs 0 comments

KATIBU MKUU CHONGOLO AWASILI WILAYANI BUKOMBE

In KITAIFA
May 15, 2023

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amewasili wilayani Bukombe akiongozana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu) tayari kwa kushiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Wilaya ya Bukombe pamoja na uzinduzi wa ukumbi mkubwa wa mikutano wa CCM Wilaya ya Bukombe, mkoani Geita.

\"\"
\"\"
\"\"