244 views 16 secs 0 comments

CHONGOLO AZINDUA MRADI WA CCM BUKOMBE

In KITAIFA
May 15, 2023

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akikata utepe ikiwa ishara ya uzinduzi ya nyumba ya kupumzikia wageni ikiwa ni mradi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bukombe mkoani Geita.

\"\"