121 views 21 secs 0 comments

JENGO LA YANGA KUKARABATIWA

In MICHEZO
May 12, 2023

Mkurugenzi wa Wanachama wa timu hiyo Haji Mfikirwa anabainisha kuwa Klabu ya Yanga Sc imeingia makubaliano ya ushirika na kampuni ya rangi ya Robbialac kwaajili ya ukarabati wa jengo lao la Makao Makuu yaliyopo mitaa ya Twiga na Jangwani Dar es Salaam.